Lissu alisema hayo wakati akisimulia sehemu ya maisha yake binafsi na mambo aliyowahi kukutana nayo maishani katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Jumatano
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu alinusurika kushambuliwa na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira katika moja ya...
Wakuu
Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA.
Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu msikimbilie tena kutumia dola kama Hayati mzee Meko kipindi kile.
Sote tunajua baada ya Press ya Lissu ule...
CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila kijiji na kuboresha mawasilino karibia vijiji vyote 13,000. CCM wapiga kura wao wengi walikuwa ni...
Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya wafuasi!
Yericko anasema kuwa endapo Tundu Lissu atachaguliwa basi CHADEMA kitakufa ndani ya miezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliohitimishwa leo, Jumatano Januari...
Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga...
Salaam wana jukwaa,
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo.
Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA.
Nampongeza mh John Heche kuchaguliwa kuwa makamu...
Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa yanategemea connection za mwenyekiti aliyepita aisee wajumbe mliwaza sisi familia zitaishi VP? 🥺🥺 Leo siku...
Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
Ndugu Lissu.
Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA.
Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu.
Mtafutie huyu mtu...
Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho.
Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi.
Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa Mbowe kumuunga mkono Lissu, na huenda wameshamuunga mkono hadi sasa.
Lissu, Heche,Lema na watu wao...
Amani iwe nanyi wanabodi.
Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii.
Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo."
===================================
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA...
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa.
Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.