tundu lissu

  1. Waufukweni

    Pre GE2025 PICHA: Lema, Boni Yai wakigonga tano kwa furaha kwenye mkutano mkuu CHADEMA

    Wakuu Kitaalam tunaiitaje hii? Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na Boniface Jacob, ambaye ni wakala wa mgombea Freeman Mbowe, wakati wa uhakiki wa wajumbe katika mkutano...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

    Wakuu, Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu. Wakimaliza kuhakiki...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

    Bado Tupo! Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao. Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa. Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

    Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika kwa kuita majina ya wajumbe wa kanda mojamoja ili kupata uhalali wa...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

    Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo. Kuteuliwa kwa Lema, ambaye si mjumbe wa mkutano mkuu kwa sasa, kumetangazwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, leo...
  6. SankaraBoukaka

    Uchambuzi wa Kinyota na Nambari kwa Freeman Mbowe na Tundu Lissu

    Uchambuzi wa Numerology Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo. Uchambuzi: Mbowe akiwa na 4 anaonyesha uongozi wa utulivu na wa vitendo, jambo linalovutia wanaotaka kuendeleza hali ilivyo. Lissu...
  7. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

    Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Hotuba ya Mbowe Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Bora alivyokimbia Mdahalo maana Lissu angemvua nguo kweupe!

    Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:), mara aanze kupiga majungu kuhusu matusi kwenye chama, yaani bure kabisa. Ndio maana...
  9. Abraham Lincolnn

    Pre GE2025 Kwanini TBC hawarushi Live Mkutano Mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?

    Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho. Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Mimi nikiwa kama Mtanzania ambaye...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

    Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
  11. Mindyou

    Pre GE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe). Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa! ===== Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
  13. A

    Hii picha imenifanya nifikirie sana, Mbowe hawezi kushinda kirahisi

    Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone. Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote. Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala Thread 'Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA'...
  14. M

    Pre GE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

    Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
  15. chiembe

    Tunajua Diaspora wamechanga mamia ya mamilioni kwa ajili ya kampeni, Tundu Lissu na genge lake wamezipeleka wapi?

    Hela hizo karibu milioni 900 Lissu na genge lake wamezifunikia wapi?
  16. T

    Pre GE2025 Je, timu Tundu Lissu wakishindwa uchaguzi hapo kesho 21/01/2025 wataibukia CHAUMA?

    Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je inaweza kuwa karata nzuri? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  17. M

    Kesho ni uchaguzi wenu Chadema, nachojua mimi Freeman Mbowe hawezi kuachia uenyekiti kwa Tundu Lissu, Never

    Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu. Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais. Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu. Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka...
  18. M

    Pre GE2025 Lema amjibu Mbowe asema Uongozi ni Tabia na sio Cheo

    Katika ukurasa wake wa X Lema ameandika hivi, "LEADERSHIP IS A BEHAVIOR NOT A TITLE." Swali: Kwanini anahangaika Lissu na Heche ili wawe viongozi kwani hawana Title? Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Mnyika alivyowatambulisha wagombea CHADEMA Mkutano wa Baraza Kuu, ukumbi walipuka alipotajwa Lissu

    Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, kuwatambulisha wagombea wa ngazi ya juu ya uongozi wa chama hicho. Mnyika...
  20. Erythrocyte

    Pre GE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

    Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa yao hii hapa Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
Back
Top Bottom