Wakuu,
Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga...
Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta...
Wakuu
Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA
Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
"Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5)
Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box...
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?
Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.
Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani...
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa...
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.
Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp...
Wakuu
"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli"
"Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.
Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya...
Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam TV
https://www.instagram.com/azamtvtz/reel/DE6vkQ3Bufu/
Wakuu,
Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh:
"Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea, na unapoona kiongozi mwandamizi kama kweli amesema..mimi sijasikikia ila kama kweli amesema...
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema;
"Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA.
Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia...
Maelezo ya Tundu Lissu
*Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa.
*Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul
Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina.
Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika?
Mtangazaji...
Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu,
Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage.
Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Wote wawili wanamchuano mkali...
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
Yaonekana alikuja na...
===
Katika hali isiyo ya kawaida Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA ) Taifa wameshindwa kujizuia na kuonesha hisia zao kwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu alipokuwa akiingia Ukumbini.
Hakika LISSU Will Fix CHADEMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.