Wakuu salam, kila mmoja kwa imani yake wajf popote mlipo.
Leo ni leo vipenga kwa pande zote vimelia ,Mbowe anagombea ,lissu anagombea kazi kwenu wajumbe kutuletea mtu Mhimu kwa wakati muhim. Mbowe na lissu wote bado chama kinawahitaji ila kwa nyakati za sasa Lissu ni mtu sahii.
Leo natangaza...
Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge
Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti
Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa.
Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu.
Pia soma: Pre...
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
Wakuu,
Badamu batachuruzika safari hii!
=====
Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
Wanabodi,
Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa.
Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...
Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu...
Habari wakuu
Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.
Swali langu kwenu, ni mambo gani umeyafahamu baada ya mwamba huyo kuweka nia ambayo huko nyuma hukuyajuaau hukufikiria...
Wanabodi,
Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala mkali usio na afya ndani ya chama.
"Ni wazi kwamba nilihamanika tu," alisema Ntobi. "Naomba radhi sana...
Uwa siandiki Mara nyingi
Kumbukeni wananchi
Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
Wanajukwaa!
Habari iwafike kutoka CHADEMA. Baadhi ya makada wa chama hicho wamendelea kuonyesha upande katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa ambao utafanyika mwaka 2025.
Inavyoenyesha Mbowe ni kama time yake ya kuachia ngazi wengi wanatamani kumuona Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti wa...
Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani
Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti?
Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
Muiteni Mlopokaji, Muiteni mwendawazimu, call him Vyovyote unavyoweza kwakua una mdomo, na una bando lako.
Ukweli ni Kua TUNDU LISSU ni Moja ya Wanadamu wanaosoma na Kisha alichokisoma akawa na Uwezo wa kukiweka kwenye matendo, ni Moja ya watanzania wenye Karama za Uongozi, ni Moja ya...
Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama!
Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu hakitakuwa salama.
Kama ni hivyo kwanini mlimuamini kugombea urais wa nchi? Mnasema hana hekima na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.