tundu lissu

  1. M

    Ibrahim Ngogo: Ametoa wito kwa wajumbe wa chama hicho kumpigia kura Tundu Lissu

    Naona mdogo mtu akiwa anamsapoti Freeman Mbowe wakati kaka mtu yeye akiwa anamsapoti Lissu, Msikilize jamaa kamchana chana vibaya Freeman Mbowe kwa hoja tano. ====================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Makete, Ibrahim Ngogo, ametoa wito kwa...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA Kemondo wamuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Wanachama hao wamewataka wajumbe wa uchaguzi wa chama hicho kumchagua Lissu kwa madai kuwa ndiye...
  3. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

    Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike. Na niseme wazi , Kama LISSU...
  4. M

    Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  5. Dr Ndlozi

    Pre GE2025 Sababu za msingi na makini kwa nini Chadema tunamuhitaji zaidi Mbowe

    Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza wajumbe wa kamati kuu ya chadema wasifanye makosa. Kwanza kabisa mimi Mbowe na Lissu wote ninawaheshimu...
  6. Etwege

    Tundu Lissu: Uhusiano wangu na Mwenyekiti Mbowe siyo mzuri

    Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe kuwa ni mbaya sana kiasi kwamba hawezi kwenda nyumbani kwa Mbowe akala na kunywa kwa...
  7. E

    Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  8. Q

    Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

    Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama. Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia. Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai. Usisahau kutibu majeraha na...
  9. mdukuzi

    Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

    Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela. Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe. Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe...
  10. The Palm Beach

    Pre GE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  11. Superbug

    Wimbo wa Iko Iko ane wa Justin Wellington My bestie namdediketi tundu lissu

    Wimbo huu mzuri mpya kabisa wa Justin Wellington Iko Iko namdediketi tundu lissu. Mwamba asiechuja. Mwenye nao wa video autupie hapa.
  12. R

    Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

    Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician! Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali! Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia. Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa...
  13. G

    Pre GE2025 Mbowe asishupaze shingo. Lissu anamwaga petroli kwenye mbao za CHADEMA huku akiwa ameshika kiberiti

    Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa madaraka. Mbowe akishupaza shingo na kuendelea na msimamo wake, basi mbao za chadema zitagawanywa ama...
  14. Mganguzi

    Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

    Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa. Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA! Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo...
  15. S

    Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

    Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair. Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini...
  16. Yoda

    Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  17. S

    Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  18. D

    Kwanini Wakili Tundu Lissu anaiogopa sana Mahakama?

    Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana, kuwa kwa mujibu wa Katiba yetu, mahakama ndio mhimili uliopewa mamlaka ya kusimamia na kutoa haki...
  19. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  20. M

    Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
Back
Top Bottom