tundu lissu

  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

    Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama...
  3. Nawashukuru Sana

    Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  4. Nehemia Kilave

    Tundu Lissu alipomkosoa baba wa Taifa na muungano alisakamwa sana. Hayati Magufuli mbona hana watetezi kama wengine?

    Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias . Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
  5. zitto junior

    Kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa Makamu mwenyekiti?

    Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

  7. K

    Uchaguzi ujao wa Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu atashinda ila kwa mizengwe

    Nafahamu kuwa watu wengi wako nyuma yako na unapendwa sana lakini ukumbuke uchaguzi unaokuja utashindwa kwa mizengwe. Wewe kuubali yaishe na uendelee kuijenga CHADEMA.
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atoa mapendekezo ya uchaguzi huru na haki katika ngazi ya chama hicho unaotarajiwa kifanyika mwezi huu wa Januari 2025. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
  9. sinza pazuri

    Tundu Lissu anaweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha ugombea, inahitajika huruma ya mwenyekiti kumnusuru

    Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati. Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know. Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
  10. Bezecky

    Tundu Lissu azungumza na Wananchi na Wanachama wa CHADEMA - Januari 01, 2025

    Mhe Lissu kama alivyoahidi kuhutubia Taifa Leo siku ya tarehe 01.01.2025 majira haya ya mchana, Mhe Lissu ni mkweli na tayari amenafanya hivyo msikilize. Usiondoke Jf kwa habari na madili mbalimbali https://www.youtube.com/watch?v=ozQqkisoXJ4 ==============================================...
  11. Nehemia Kilave

    Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  12. S

    Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

    Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
  13. Mudawote

    Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
  14. MAKANGEMBUZI

    Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
  15. Rula ya Mafisadi

    Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

    https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
  16. Rula ya Mafisadi

    Pre GE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

    == Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu...
  17. chiembe

    Pre GE2025 Ezekiel Kamwaga: Tundu Lissu anaweza kuwa Dikteta mtarajiwa

    Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao. Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki. Hapa ndipo chadema itapasuka kwa...
  18. K

    Hizi hapa sera zinambeba TUNDU LISSU kuchaguliwa uenyekiti chadema

    Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa: 1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
  19. J

    Pre GE2025 Nataka Lissu ashinde Ili akutane na ugumu aliokutana nao Magufuli kwenye kuongoza chama kilichojaa wala rushwa!

    Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya 🌹
  20. Rula ya Mafisadi

    CHISAYE: Mwenyekiti BAVICHA Taifa ajae ni Wakili Mahinyila kwa sababu anamuunga mkono pia Mwenyekiti wa Taifa ajae ambae ni Tundu Lissu

    JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA? MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA. 1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo...
Back
Top Bottom