Tundu Lissu tupe ahadi ukishinda Utaanzisha Chadema TV & Radio, Mbowe japo alikuwa na Disco kama Kusaga lakini ameshindwa kwa miaka 20
Sifurahishwi na utaratibu wa Mbowe na Tundu Lissu kila siku kupishana kwenye Vituo vya Tv vinavyomilikiwa na Wanaccm kufanya Kampeni za kunadi Sera zao
Labda...
Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa.
Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa.
Singida haijawahi kuwa na mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha yeye mwenyewe Tundu Lissu jimboni kwake...
Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k. Kwamba wale wananchi waliokuwa tayari kuwafia, kuwafuata, kuwasikiliza na kukifuata chama, leo hii...
Utangulizi
Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama chake. Lissu, anayetambulika kwa umahiri wake katika masuala ya sheria na siasa, anazungumzia kwa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama.
"Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii...
Akihojiwa na BBC Swahili, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewashangaa wanaodai kuwa hafai kuongoza hata Mtaa wakati kitambo kidogo alifaa hadi kuwa Rais (Akapewa dhamana ya kugombea Urais) na pia amefaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
Amesema “Huyu Lissu ambaye hafai kabisa kuwa...
Mpo salama!
Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa.
Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika anachukua Rushwa au kutoa Rushwa
CHADEMA kama cha cha Demokrasia lazima kifikie hatua na kuwa na watu wenye...
Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga...
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa
Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21
Tundu...
Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi.
Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji.
Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi.
Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
Habarini wana jukwaa wa JF.
Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu.
1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya wanachama pamoja na wengine wasio wanachama,je hii inaweza kumfanya apate ushindi katika UCHAGUZI?
2)Mbowe...
Wakuu,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar.
Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.