HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA
Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza kushinda uenyekiti katika uchaguzi huo.
Mjadala unaendelea wakati ambapo Mwenyekiti wa chama hicho...
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA.
Swali langu: Je, Lissu alipigwa risasi kwa sababu ya kuipigania CHADEMA? Alikuwa anaipigania CHADEMA kwa lipi hasa?
Je...
Wakuu
Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla
1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa kiswahili kizuri anatumwa na hisia na sio rational atakiingiza chama kwenye chaos na kitakuwa hakina...
Kwa kuangalia jinsi Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, wanavyoishi na kushirikiana kisiasa, ni dhahiri kwamba kuna hali ya kutatanisha. Naamini maisha wanayoonyesha hadharani ni ya kinafiki, ambapo kila mmoja anamtamani mwenzake "aingie kwenye...
Wakuu
Vipi tusiamini vicheko😀?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Omari Toto amesema wameamua kumuunga mkono Lissu kutokana na Sera zake ambazo...
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na...
MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE
Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!!
Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara baada ya kutoka Gerezani,Mnakumbuka kwamba Mwenyekiti aliwahi kuwa Gerezani miezi minane.??
Katika...
Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama,hakuna aliye juu ya chama,hakuna mwenye kusema pasipo yeye hakuna...
SEHEMU YA KWANZA👇🏻👇🏻
https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?si=rYCwWDRt0KJognM3
SEHEMU YA PILI👇🏻👇🏻
https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo
Kwa ufupi:
➡➡Amejibu na kutoa ufafanuzi wa tuhuma mbalimbali zilizotolewa na mgombea uenyekiti mwenzake Ndugu Freeman Mbowe....
Miongoni mwa tuhuma hizo...
Long live TAL:
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa
Kupitia maandishi ya mwana CCM bwana Hamis kigwangalla, napata mashaka makubwa sana. Uwenda wewe ndiye mtu ambaye unawauza viongozi wenzio kwa wenye mamlaka... !
Tumeanza kuwa ma-bro sasa, Vijana Chipukizi na watoto wanatutazama kama viigizo, wanajifunza kwetu, tuwe makini sana.
Kaka yangu...
Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.