tundu lissu

  1. J

    Mbowe ni kama Hayati Membe alivyoitwa Joka la Mdimu na Mudhihir yaani hataki Lissu awe Mwenyekiti wala mgombea Urais na yeye hataki kugombea Urais

    Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi RIP Mudhihir...
  2. Nyani Ngabu

    Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

    Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana. Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili...
  3. Tman Clever

    Pre GE2025 CHADEMA: Huku Freeman Mbowe kule Tundu Lissu strength & weaknesses

    Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii 2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
  4. Z

    Sasa nimeelewa maovu mengi ya Mbowe kupitia Lissu

    Lissu Kaamua Kufichua Siri za Mbowe Rushwa Ubadhirifu wa fedha za chama, ikiwemo kukodisha chopa wakati wa kampeni Ubinafsi Udikteta Na mengine mengi
  5. Z

    Pre GE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

    Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
  6. Nehemia Kilave

    Haya makundi Manne yakimuunga mkono Tundu lissu , mapema uchaguzi 2025 anaingia Ikulu

    Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika. Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale...
  7. figganigga

    Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

    Wakuu Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea...
  10. Tlaatlaah

    Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
  11. R

    Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

    Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo . Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo . Ni hayo tu .
  12. B

    Duh! Mkeka umechanika vibaya sana! Huku Tundu Lissu pale John Wegesa Heche!

    Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake. Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi. Sasa ni rasmi mkeka wao...
  13. Mtoa Taarifa

    Pre GE2025 John Heche: Nitamuunga Mkono Tundu Lissu, na nitagombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
  14. The Palm Beach

    Pre GE2025 Dkt. Slaa: Minyukano ya kambi za uchaguzi wa Mwenyekiti (Mbowe & Lissu) CHADEMA, sababu ni Mbowe anataka kugombea Urais 2025

    Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇.. TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
  15. M

    Kikeke: Unasemaje kuhusu ukomo wa madaraka, Mbowe ang'aka

    Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale. ****** Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA" Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA" Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa...
  16. B

    Heko Kikeke kwa kumhoji Mbowe, kuweka mizania sawa panga kumhoji na Lissu!

    Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu. Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja: Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha Lissu hapo alipo, bila shaka kuwa yeye ni bora zaidi! Kwamba hakuna anayeweza kujidhania ni wa...
  17. Rula ya Mafisadi

    Pre GE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

    Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya Tanzània kwamba imepotesha, Ni swala la Mbowe mwenyewe na Wafuasi wake kuamua kunyoa au kusuka ila...
  18. M

    Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

    Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga" "ulipo tupo" Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana. Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Watanzania wengi Wanaamini ukiwa kiongozi Mkubwa huwezi tenda Makosa. Huku Lissu kule Kabendera wote wanapingwa vikali

    Mpo Salama! Watanzania wengi wametoka na kulelewa kwenye jamii nyingi zinazomini na kufundisha kuwa MKUBWA HAKOSEI. Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa Mzazi wewe tayari ni Mungu hivyo hukosei na hupaswi kuambiwa umekosea. Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa kiongozi Mkubwa labda Rais...
  20. Waufukweni

    Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
Back
Top Bottom