Wakili William Maduhu ambaye ni mmoja wa wapeleka maombi katika shauri ambalo Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Dar es Salaam mnamo Oktoba 16, 2026, iliamuru uongozi wa Gereza la Ukonga kumruhusu Tundu Lissu kuzungumza na mawakili wake kwa faragha, huku maofisa wa magereza wakiweza...