tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

    Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair. Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini...
  2. Yoda

    Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  3. K

    Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara Watawala na wabadhirifu...
  4. S

    Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  5. D

    Kwanini Wakili Tundu Lissu anaiogopa sana Mahakama?

    Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana, kuwa kwa mujibu wa Katiba yetu, mahakama ndio mhimili uliopewa mamlaka ya kusimamia na kutoa haki...
  6. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  7. M

    Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
  8. Bezecky

    Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

    Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo. Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya...
  9. D

    Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  10. Erythrocyte

    Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  11. kipara kipya

    Wafuasi wa Tundu Lissu wamejaa uoga na uzandiki!

    Baada ya Lissu kutangaza nia na kuchukua fomu wafuasi wake na wanaharakati walianza kupiga mayowe na kuanza kumsifia Lissu kuwa ndie mwamba. Mbowe hasitahili kugombea tena hata haijulikani nani aliwapa taarifa Lissu na akaanza mashambulizi ya kejeli huku akisema ndio demokrasia uongozi bora uwe...
  12. Nehemia Kilave

    Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  13. Rozela

    Pre GE2025 Kilichomsukuma Mbowe kugombea ni kumkomoa Tundu Lissu?

    Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake. Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa kugombea nafasi hiyo endapo anaona kuna hatari? Ni lazima agombee yeye? Ikitokea ameshindwa, (NA...
  14. Kikwava

    Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  15. Mr Why

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  16. Q

    Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

    Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
  17. S

    Pre GE2025 Viongozi wa mikoa wa Kanda ya Pwani wanaomuunga mkono Tundu Lssu wanatoa tamko muda huu

    MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO  TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU KUWASIKILIZA https://t.co/ZqIQkJEQLF Chanzo: Joel Msuya X account.
  18. DaudiAiko

    Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Ntobi aomba radhi kwa kauli zake kuhusu Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala mkali usio na afya ndani ya chama. "Ni wazi kwamba nilihamanika tu," alisema Ntobi. "Naomba radhi sana...
  20. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

    Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
Back
Top Bottom