tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Twendeni na Tundu Lissu tuachane na viongozi wanaoendekeza rushwa ndani ya chama

    Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama. Tundu Lissu atakijenga Chama chenye weledi pasipokuwa na harufu ya Rushwa. Kama mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ametajwa hadharani...
  2. M24 Headquarters-Kigali

    Dr Tundu A Lissu rudisha misingi ya CHADEMA

    Ukikabidhiwa Mamlaka kamili kama Mwenyekiti wa CHADEMA rudisha Ile misingi ya kudai Haki. Sio kuomba Haki kama alivyofanya mtangulizi wako. NB: Mwenyekiti aliyepo kila mara analia Lia kama Kada wa CCM kumbe NI Mwenyekiti CHADEMA
  3. Ritz

    Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu. Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo. Chadema...
  4. G

    Pre GE2025 Sababu tano za wanachama wengi kumhitaji Tundu Lissu kuliko Mbowe

    Hamjambo Watanzania! Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram nimeona maoni ya wananchi na wanachama wengi wa kawaida wanamhitaji Lissu kuliko Mbowe. Kwa usanisi...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Nilisikia wanasema Msigwa amenilipia ukumbi wa Mlimani City. Maneno ya Msigwa ni ya bure na ya uongo kabisa!

    Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Watu wanaolipwa mshahara ndani ya CHADEMA hawafiki 20

    Wakuu, Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi. Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global TV, Tundu Lissu amesema kuwa, notion iliyopo ndani ya CHADEMA kuwa kuna mtu mmoja tu anajitolea...
  7. King Jody

    Nini kitatokea iwapo Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Chadema?

    Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema. Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa...
  8. Tlaatlaah

    Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

    Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
  9. Father of All

    Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

    Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu...
  10. Gabeji

    Pre GE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
  11. Richard

    Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  12. technically

    Pre GE2025 Tundu Lissu kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu. Sasa naona Tundu Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania Kama atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema akafanya reform ya chama...
  13. Pang Fung Mi

    Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  15. S

    Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  16. THE BIG SHOW

    Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  17. Ezra cypher

    Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

    Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
  18. Mookiesbad98

    Power breakfast live wamuhoji Tundu lissu

    Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
  19. Ubaya Ubwela

    Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  20. O

    WanaCCM na 'Team Mbowe' waungana kumkabili Tundu Lissu

    Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama. Maswali ya kujiuliza. Kwanini CCM wametikisika baada Lisu kutangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa CHADEMA? CCM inafaidika na nini...
Back
Top Bottom