twaha mwaipaya atekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Twaha Mwaipaya alivyotekwa nje ya Nairobi, Kenya

    Twaha Mwaipaya alitekwa siku chache baada ya John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini. Pambalu na Twaha walikimbilia Kenya ambako waliishi, karibu mwaka mzima ili kuokoa maisha yao. Taarifa tulizonazo ni kuwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania lilipata taarifa za Twaha Mwaipaya na...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Paradiso Ya Watekaji! Kutoka Kimbilio Hadi Mtego: Kenya Yageuka Uwanja wa Kuwinda Wakosoaji wa Serikali Za Kigeni

    Kenya kwa muda mrefu imekuwa ikitambulika kama mahali pa usalama kwa watu wanaokimbia mateso, vitisho na ukandamizaji wa kisiasa katika nchi zao. Lakini sasa, sifa hiyo inakabiliwa na maswali mazito kufuatia matukio ya kutoweka kwa wanaharakati na wakosoaji wa serikali kutoka nchi jirani wakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watetezi wa haki za Binadamu Kenya, wapaza sauti kutekwa kwa Mwaipaya

    Mtandao na Muungano wa Mashirika ya Kiraia, Watetezi wa Haki za Binadamu na Wanaharakati barani Afrika (The Pan-African Solidarity Network- PASNET) umelaani vikali kile ulichokieleza kuwa ni kutekwa kwa mwanaharakati wa Tanzania na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Twaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…