Aina za ubaguzi duniani
Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani.
Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini:
Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya...
Wadada hasa Tanzania licha ya kusema Nchi ya kijamaa wanawake 95% ni wa baguzi sana kuna wanaume hawawachuni wala kuwapiga mizinga lakini wengine ambao weupe (handsome) tunachunwa mpaka basi.
Kama Marekani na Ulaya wameandamana kwanini tusianamane kupinga ubaguzi, nipo tayari kufa nikipinga...
Waziri Mkuu wa Uingereza, amesema raia wana haki ya kuandamana lakini wanaoleta fujo wanapaswa kuchukuliwa hatua. Amesema wameacha lengo la msingi la maandamano hayo na kufanya fujo
Waandamanaji mjini London wamewafanya polisi kukimbia baada ya kuwashambulia kwa chupa. Polis 8 wamejeruhiwa na...
Habari!
Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa.
Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
Kwa mujibu wa nadharia hii ni kwamba kwa kila tendo liwe zuri au baya utapokea malipo yake hapahapa duniani kabla haujafa. Kwa baadhi ya watu nadharia hii inafanya kazi ila kwa watu wengine inakataa kwa nini?
Kwa mfano viongozi wa nchi ya Marekani wameamrisha mauaji ya watu wengi duniani...
Habari wakuu,
Napenda kuliongelea suala la ubaguzi wa rangi unaopigiwa kelele kwa sasa duniani. Kwanza kabisa tuelewe kwamba haya mambo hayajaanza leo. Yana historia ndefu sana kuanzia enzi za Nuhu na watoto wake watatu.
Hamu, yule aliemchungulia baba yake, alilaaniwa kwamba atakuwa mtumwa...
Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu.
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL cha *CloudsFm. Nikimnukuu Madee "Siamini kwenye ubaguzi wa rangi, hata yule jamaa aliyekatishwa...
Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
Marekani ni taifa lenye watu wengi wenye hali mbaya kimaisha mfano 40% ya watu weupe wanaishi kwenye umasikini.
Pia watu wengi weusi wanaishi kwenye umasikini na msongo wa mawazo, yaani tuseme wanapata pesa ya kula na kulipia pango basi ili tatizo lipo pia South Africa na Kenya.
Mifumo ya...
Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika.
Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.