Mzuka Wanajamvi,
Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger.
Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua.
White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye...
Nafahamu kwamba swala LA afya sio issue ya Muungano, ila lwanini sisi Wazanzibar tuliokuwa hatuna leseni za MCT mmefunga mfumo wenu wa usajili?
Mnajua kabisa usipokuwa na l
Leseni ya MCT huwezi kuomba hizi ajira mpya sasa kwanini msitufungulie tuombe?
MCT acheni hujuma, hizo ajira kila MTU...
Maambukizi ya virusi vya Corona yamefichua unafiki kuwa nchi zile zinazopinga vikali ubaguzi wa rangi ndio zenye vitendo vibaya zaidi vya ubaguzi wa rangi.
Wakati virusi vya Corona vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza mjini Wuhan, China, wao walitoa kauli ya ubaguzi kama “virusi vya China”...
Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu.
Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni...
Habari wadau!
Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa.
Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs.
Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga...
Mnamo mida ya jioni( saa kumi hivi), ikiwa ni majira ya spring katika mji wa Houghton (Michigan) nilikuwa nimetoka kufaidisha kinywa katika mghahawa wa Rodeo Mexican Kitchen, nilipokea simu ya dharula kutoka kwa kiongozi wetu wa tech club, kwamba tunahitajika mara moja kwa dean of students wa...
Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'.
Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa...
Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao.
Wajapan wenyewe walikuwa wana wabagua wachina na kuwaita watu wagonjwa wa Asia. Leo mchina ameonyesha uwezo wake duniani...
Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea).
Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk
Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
Wakuu!
Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa.
Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
Mikoa mingi inayopatikana kusini mwa Tanzania iko nyuma kimaendeleo.
Ruvuma, Lindi, Mtwara hii mikoa ni imetengwa na kupuuzwa kwa miaka mingi.
Nitaelezea kwa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma makao makuu Songea hakuna chuo cha elimu ya juu hata kimoja, vilivokuepo vyote vilifungiwa na ikawa mwisho wake...
Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi.
Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa...
TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI
Leo 10:50hrs 22/11/2020
Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York kama mgeni rasmi,hii ni kabla ya kutangaza kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2016, Aliamua kuwaambia...
Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu.
Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea.
Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa...
Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.