Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita ubaguzi wa kiajira unaotokana na vijana wengi wa Kitanzania kutoijua lugha hiyo.
Akiwa wilayani...
Katika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao.
Baada ya...
Ubaguzi bado unaendelea kulitafuna bara la Afrika
Mwanzo nilidhani wahindi ndio nambari moja kwa ubaguzi duniani, lakini nachokiona kwa ndugu zangu waafrika hususani hapa bongo niseme tu wengi wao ni wabaguzi wa kutupwa ni zaidi ya wahindi, hivyo wanaendelea na kujionyesha wazi kuwa wao ni...
Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine!
Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini wakimbizi wengine waliokuwa wanakimbilia ulaya toka nchi za mashariki ya kati na afrika ya kaskazini...
Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro.
Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
Niwaombe tu Waafrika wenzangu (hasa Watanzania) kuwa tuacheni Unafiki wetu wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu dhidi yetu Waafrika wakati Ukweli ni kwamba Sisi Waafrika (tena wenyewe kwa wenyewe) tunabaguana kwa Kiwango kikubwa kuliko hata huo Ubaguzi wa Wazungu Kwetu.
1. Hivi katika ngazi...
Bar ya Sun Siro imepiga marufuku watu wa jamii ya Kimasai kuingia kwenye bar hiyo.
Huu ni ubaguzi rasmi ambao hauna jina jingine ila ubaguzi wa kikabila.
Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi wa kikabila ni sawa na kula nyama ya mtu.
Nazuimba mamlaka zinazohusika na kutoa na kusimamia leseni...
Mtayarishaji wa kipindi cha watoto hafai kwa sababubu anapendelea shule za kiislaam tu.
Kila jumapili kipindi cha watoto utaona amechagua shule au watoto wa kiislam tu. Utakuta wahusika wamevaa wote hijab kama yeye.
Tunataka atambue wazazi walio nyumbani sio wote wanataka watoto wao kuoa aina...
Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili iliyopita.
Naendelea na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo ikiwa ni makala ya Tribute to certain Silent Heroes and Heroines, na kuipongeza “Idara” kwa kuwahudumia wastaafu wake hadi mwisho!” kifoni, lakini nina swali, nikiamini binadamu wote
ni...
Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa
Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama...
Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo"
Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayestahili kutawala kila...
Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana
Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara?
Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
Habarini ndg zangu,
Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking
Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni...
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?
Vipi hii kuwahusu hawa wengine?
Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.