Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
Ukweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo...
Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'.
Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati.
Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!.
☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa.
Swali la leo ni kuhusu kuibuka na...
Kwanini serekali wanatumia nguvu nyingi kubagua sisi watu ambao tumetoka katika mikoa ya waswali.
Yaani kukitokea mtu yeyote ambaye ametoka katika mkoa wa waswali na akawa mpinzani anapewa uraia wa nchi nyingine.
Kila mpinzani ambaye anatoka kwenye mikoa ya waswahili kwa mujibu wao sio mkongo...
Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome.
Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao.
Inanishangaza kwenye nafasi za...
Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe.
Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)
Juzi wakati Mlinzi wangu...
Happy ban day!
Watu wa bara mnapaswa kubadilika na kuwa na ustaarabu! Nyie watu mmekosa ustaarabu na chuki zimewajaa acheni hizo gubu zenu na nyinyi huku pwani tuwatimue?
Nimechokwa na chuki zenu za udini kila mara mnazowafanyia ndugu zetu wa pwani hamuwaruhusu kusoma shuleni zenu na nasikia...
Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia.
Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila...
Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium.
Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali kuhusu uhamiaji.
Bunge la Taifa la Ufaransa lilipiga kura kumuadhibu de Fournas kwa kumzuia kuhudhuria...
Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!!
Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu.
Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.