Mnogage,
Wakuu kuna kitu mm sikielewi kuhusu bima ya Afya ya Taifa, NHIF, bima hii ni yetu sote lakini m naona imekaa kuwapendelea watumishi wa serikali na kututesa watu tulipjiajiri ambao ndio wengi,
Kwanin nasema hivyo ?
Tazama, mtu anaelipwa 1,040,000/- anakatwa 31,000/- kwa mwezi kama...
Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani.
CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi
Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
Habari yako mwana jukwaa.
Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu.
Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi.
Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko
Mashariti ya Kati!
This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries.
The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians .
I'm...
Habari za Asubuhi ndugu na wanajambi wenzangu. Ni muda sana sijaweka bandiko hapa JF. Majukumu na kazi za watu zinabana sana kusema ukweli. Naomba niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni mtumishi katika moja ya Taasis za serikali katika Manispaa "X" mkoa mmoja maarufu kama Kanda Maalum...
Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi.
NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu.
♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya.
Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate.
Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
TRA wamewa-shortlist wenye digrii za Bank & Finance Kwa kigezo cha Finance, wamewaita kwenye usaili na namba za usaili wakawapa, Lakini siku ya Interview wakawatenga.
Ajira za TRA kupitia utumishi hazijawahi kuwatenga watu wenye Elimu ya Finance, vijana wengi tunawafahamu wameajiriwa TRA na...
Habari JamiiForums,
Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa.
Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo...
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza...
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.
Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.
So...
Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza
Gender human creates.
====
Maoni zaidi kuhusu mada hii
Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na,
1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea...
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI
UTANGULIZI
Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
Hellow
Kanisa la KkKT ndani yake lina ubaguzi sana kuanzia kwenye jumiya mpaka kanisani ukaaji wake ndani ya kanisa kuna matabaka badala kanisa kuwafanya watu wawe wa moja badala yake linawatenga
Unakuta jumiiya ya inaitwa upend ndani yake wamejaa kimario tu na wote wanapesa tu na katika...
Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida.
Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.