Kutoka kutekwa nyara hadi talaka na shutuma za ubaguzi wa rangi, familia ya kifalme imekuwa mgeni kwa kashfa kwa miongo kadhaa.
Malkia Elizabeth II anasifiwa kwa kiasi kikubwa kustahimili dhoruba mbalimbali, picha ya utulivu huku kukiwa na drama za familia ambazo zilitengeneza lishe yenye juisi...
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
kibwagizo cha Mlete Mzungu kilichoasisiwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally alipokuwa akimtambulisha mchezaji wao mpya mgeni, Dejan Georgijević hapo Agosti 8, 2022, siku ya tamasha la klabu hiyo lililofanyika uwanja wa Benjamin William Mkapa, kimepata umaarufu...
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake.
Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za...
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana.
Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
Habari ya wakati Muungwana?
Nimeguswa sana na thread kadhaa zikizungumzia kuhusu Ngorongoro na Loliondo.
Matumizi ya neno wamaasai au wamasai au Masai, binafsi naona ni ubaguzi wa kikabila. Ukizingatia wote ni Watanzania sioni haja ya kuitana kikabila, naona WAKAAZI WA NGORONGORO/LOLIONDO ni...
Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa
FUATILIA
========
Monkeypox to get a new name, says WHO
Yesterday 6:34 PM
The World Health Organization says it is working with experts to come up with a new name...
Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa.
Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni.
=======
Madiwani Z’bar kulipwa mishahara
Jesse Mikofu
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa kile walichodai kuwa uongozi wa shule hiyo umekuwa ukiwanyanyasa na kuwabagua kwa rangi.
MwanaHALISI kupitia chanzo cha kuaminika kilipata taarifa...
Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34.
Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa?
Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya watu weupe na sehemu ya watu weusi. Katika nchi hii ambayo siku zote inadai kutetea haki na usawa...
Dhahiro Ali mwenye umri wa miaka 25, ni mama wa watoto watatu. Alikimbilia Marekani akitokea Somalia, nchi ambayo imekumbwa na vita kwa miaka mingi. Hadi sasa ameishi nchini Marekani kwa miaka mitano, amejifunza Kiingereza na ustadi wauuguzi, na hatimaye akapata kazi katika hospitali. Lakini...
Rais Samia jana alisema hapo katikati tulitetereka kidogo tukaanza kubaguana kwa itikadi, ukanda na ukabila, hakutaja ni kipindi cha Magufuli, lakini wafuasi wengi wa Magufuli wakasema anamlenga Magufuli
Hili linaashiria kuwa ni kweli Magufuli alikuwa mbaguzi hadi ubaguzi unapokemewa tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.