Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa kipaumbele na chachu ya maendeleo, kwao wao na kwa taifa.
Serikali ya ACT-Wazalendo, imekataa kuona...
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
"Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza"
Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma)
Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho.
Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi.
Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
Salaam,
Wandugu, binafsi nimesikitishwa sana kwa kauli za kibaguzi zilizotolewa na mgombea mmoja wakati akimnadi Diwani wa chama chake asiyekubaliwa na wananchi.
Kwa kauli yake mgombea huyo wa Rais alitisha wananchi kwa kuwaambia wasipompa Diwani huyo ushindi wasimuulize yeye kuhusu maendeleo...
Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma!
Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika...
Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi kumpiga risasi Jacob Blake Mmarekani Mweusi katika mji wa Kenosha, jimbo la Wisconsin mwishoni mwa...
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.
Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.
Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.
Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.
Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure...
Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli.
Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu...
Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda wakati akikabidhi ofisi amesema wakati anafanya kazi kuna mbwa mwitu walikuwa...
Ubaguzi wa rangi ulikuwepo muda mrefu sana kabla ya Darwin na theory yake au kuja kuipa nguvu maana inasemekana yeye sio mwanzilishi, lakin pindi tu ilivyo kuja huyu bwana na habari zake ubaguzi wa rangi uliongezeka kwa kiwango kikubwa.
Katika kitabu chake cha 1871 The Descent of Man Darwin...
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
9 Julai 2020
Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu
Source : Jenerali Online
Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
Huu ubaguzi unaofanywa na tume ya uchaguzi na wahusika wake wanaojiita serikali ya CCM mwisho wake sio mzuri.
Kiukweli, hata mnaposikia magaidi hawakuamka na wakawa magaidi bali ni kuminywa na kunyimwa haki katika nchi zao mwisho wa siku ndio bora tukose wote. Hii naona hali inajengeka kwa kasi...
George Floyd
Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
Rais Donald Trump ametoa tena hoja ya ubaguzi ambayo imeleta ufuatiliaji wa vyombo vya habari. Katika mkutano mkuu wa kampeni uliofanyika jimboni Oklahoma, rais Trump ameipatia virusi vya Corona jina la ubaguzi “Kong Flu”, ambalo limeleta swali kwamba je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi”...
Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo.
Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.