Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu.
Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa.
US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.
Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote.
Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga
Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Salamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu...
Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi.
Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi umekanusha taarifa inayodai Rais wa Marekani Joe Biden alimpongeza Mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 5.
Taarifa hiyo pia ilionesha Biden aliwapongeza Wakenya pamoja na Tume ya Uchaguzi kwa kufanya Uchaguzi huru wenye amani...
Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma
Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo
Hii ni tahadhari...
*Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania .
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania.
Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia.
Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka...
Wanaukumbi.
Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi...
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe.
Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo.
Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho.
Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho.
Mungu wabariki...
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.