Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.
Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Kwa mtu anayechanganua masuala kwa undani utagundua kuwa matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu kile walichokuwa wanakiita ''Hali mbaya ya maambukizo nchini'' kimepotea baada ya tamko lao la mwisho la mwezi Mei 2020.
Nadhani Ubalozi wa Marekani umegundua kuwa matamko hayo yalikuwa hayaisaidii...
Deputy Chief of Party (DCOP)
Location: Dar Es Salaam, Tanzania
Position Category: Direct hire, paid in US
Deadline Date: 07/07/2020
Description
Overview:
The Global Health Supply Chain–Technical Assistance–Tanzania (GHSC-TA-TZ) program, supported by the United States Agency for International...
Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi...
Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini):
READ MORE AND APPLY HERE!
Position Title: Shipping Assistant (Internal...
Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.
Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29...
The U.S. Embassy is seeking for an individual for the position of House Manager for a senior level diplomat.
OPEN TO: ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS. MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION.
OPENING DATE: March 4, 2020
CLOSING DATE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.