ubalozi wa marekani

  1. joto la jiwe

    Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

    Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulioa hoteli moja kubwa nchini Nairobi. Kulingana na ubalozi huo, hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutemebelewa sana watalii na wanabiashara. ''Makundi ya kigaidi huenda yanapanga njama dhidi ya hoteli moja kubwa...
  2. jingalao

    Nasubiri salaam za pole kutoka Ubalozi wa Marekani!

    Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade). Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba...
  3. Chakaza

    Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  4. 100 others

    Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

    Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA. Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani. Mpaka sasa haifahamiki...
  5. The Mongolian Savage

    Yule contractor aliyeuliwa na Hezbollah ubalozi wa Marekani Baghdad alikuwa Muiraq raia wa Marekani

    Mzuqa wanajamvi! Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza sababisha WW3. nchini Iraq alikuwa Mmarekani Muiraq ambaye alipata uraia wa Marekani mwaka wa 2017...
  6. Analogia Malenga

    Waandamanaji waondoka eneo la ubalozi wa Marekani, Baghdad

    Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi nchini Iraq yanayoungwa mkono na Iran ambao walivamia maeneo ya viunga vya ubalozi wa Marekani na kurusha mawe katika maandamano ya siku mbili wameondoka jana(01.01.2020). Hatua hiyo imewezekana baada ya Marekani kupeleka vikosi vya ziada na...
  7. Webabu

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii inafuatia hapo juzi kushambuliwa kwa kambi za wanamgambo huo na kuuliwa wapiganaji wasiopungua 25...
  8. Parable

    WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli. Kwanini hili Swala linafanywa siri? ======= Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We...
  9. Kaka Pekee

    Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

    Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
  10. Kaka Pekee

    Mbivu na Mbichi Uvumi wa Viza ya Kuingia Marekani

    Katika Pitapita zangu Nimekutana na Hii.... (Bofya Kusikiliza)'Uvumi kuhusu Viza ya Kuingia Nchini Marekani' Hawa Maafisa wa Marekani ' wamegegedua' Baadhi ya Uvumi juu ya Upatikanaji wa Viza ya kuingia kwa Trump ...na kufafanua njia sahihi ya kupata Viza hizo kwa wanaohitaji
Back
Top Bottom