Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto...
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu.
1. Utabiri:
- Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda.
Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
Kwa ushamba wa nchi za kiafrika hawatendi mpaka kitu kiwe kimeanzia kwa wazungu na hawaachi kutenga mpaka wazungu waseme kina madhara.
Michezo ya kamari katika michezo imekuwepo kwa miaka mingi nchini Marekani na hata kutungiwa sheria na majimbo mbali mbali ili ifanyike bila matatizo.Hata hivyo...
Mambo vipi Mdau,
Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie,
Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu...
Je, huwa unafanya ubashiri?
Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti.
Katika dini...
Ni kwamba hizi biashara zinalipa sana au Ni kwa sababu vijana wetu wengi hawana shughuli mjini...?
Ni kwa sababu Hatuna njia nyingine ya kufikiri kujikimu kwa mahitaji yetu ya kila siku..?
Au ni kwa sababu ya Kuongezeka kwa Gharama za maisha?
Ushauri jinsi ya kujinasua au kuzifanya shughuli...
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa.
Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
Timu hizi...
Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM
Kipindi cha...
Naam, burudani ya soka inarudi tena weekend hii baada ya mapumziko mafupi kupisha michuano ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, hivyo tutashuhudia mitanange kadhaa itakayopigwa katika madimba mbalimbali na nikiwa kama mdau wa soka nimeangazia michezo kadhaa kutoka katika ligi pendwa ya...
Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!
Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.
Matokeo yangu ni 1-1
Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8.
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho.
Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga...