bwawani90
Senior Member
- Dec 20, 2025
- 147
- 284
Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza.
Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani.
Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea kwenye upimzani wa kidola na kiuchumi.
Tunakosea sana kuingiza imani za dini zetu.
Wakristo mnaodai Israel ni wenzenu mnajidanganya. Kidooogo waislam hata wakiombea dua wenzao kule Iran mungu anajesabu. Kwa nini nasema haya....Muisrael hakujui neither marekani hakuelewi.
Uisilam kule wanaswali sawasawa the same book(Holy Quran).
Israel wao ni wa Nabii Musa
Nachoka kuandika mie