Habari!
Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu.
Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...