Wakuu heshima kwenu, kuna jamaa anataka kuniazima gari yake ndogo, Mimi niwe dereva tu katika biashara ya usafirishaji wa uber, niwe nampa yeye kama mmiliki wa gari Tsh 25,000/= kila siku,
je kuna faida yoyote ntapata mimi kama dereva tu, je uber wenyewe wanachukua kiasi gani kwa siku...
Habari wana JF
Dereva wa uber anahitajika
Vigezo:
1. Awe na experience ya biashara
2.awe na account uber [active account]
3.awe mkazi wa dar es salaam
Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za usiku siku za weekend wakiwa wamekolea.
Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu...
Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam
SIFA ZAO
★Wanajua ufundi wa magari
★Wamepitia mafunzo ya udereva
★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu
★wastaarabu
★Wasafi
Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza.
SIFA ZAO
★Wanajua ufundi wa magari
★Wamepitia mafunzo ya udereva
★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu
★wastaarabu
★Wasafi
Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma.
Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com
Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi.
Gari...
Ni dhahiri kwa tuliowahi kutoka safari mbalimbali kupitia uwanja wa ndege wa JNIA bila watu wa kutulaki na kutaka kutumia Uber tutakuwa tumepata adha ya kulazimika kutembea hadi nje ya uwanja huo ili kupata usafiri huo. Najua mtasema "kwanini usipande taxi za ndani ya uwanja?" lakini jibu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.