Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani.
Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
Salaam wakuu.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber.
Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980.
Shukran.
Heshima zenu wakuu.
Naomba kujua utaratibu wa kufuata ili kuisajili gari kama Uber/Bolt.
Na pia gari nzuri kwaajili ya kufanyia hii biashara kati ya Passo, Ist, au Vits.
Natanguliza shukrani.
Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi.
Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari.
Namba yangu ni 0624055653
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko teyari namb...
Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt.
Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
Wakuu nina gari yangu imepaki nataka iniingizie pesa kwa kuifanya uber.
Naomba kwa mwenye ufahamu anifahamishe process yote mpaka gari inaingia barabarani.
Yani kama kuna vibali ni vipi? Kama najisajili naenda wapi kujisajili? Kama ni leseni naenda kuikata wapi?
Pia nilitaka kufahamu kama...
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4.
Chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam
Mawasiliano 0762 395595
Hawa madereva wanakuonyesha screenshot, bei ya uongo.
Nilimuomba nione bei na ramani ya safar akakataa na akaficha simu, bei aliyotaja Mara ta3 ya bei ninayolipa siku zote hata ikizidi au kupungua ni kias kidogo Sana.
Cha kunishangaza nimetafuta Sana pa kusema hakuna.
Uber drivers has...
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.
I'm ready to work any place...
Wasalaam ndugu zangu.
Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa.
Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI
dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu. nipo Dar Es Salaam..nakubali gari ya aina yoyote ilimradi imekidhi vigezo vya uber. Asanteni
kwa mawasiliano 0756002927
Hellow,
Naitwa Neema (msichana) ni dereva natafuta gari kwa ajili ya Uber, yeyote anayehitaji dereva wa Uber tafadhali wasiliana nami kupitia: 0748341758
Wakuu Salaam,
Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.