Habari, mimi ni kijana wa kitanzania na mkazi wa daresalaam tabata, nipo mbele yenu natafuta gari kwa ajili ya biashara ya uber na bolt nipo tayari kwa mkataba au hesabu.
Mawasiliano;
0622570507, 0657715052 au email me mdullanicholous@yahoo.com, mdullanick8@gmail.com
Asanteni
Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine inaniambia ni nunue gari kwajili ya Uber na Bolt.
Nipo hapa nduguzangu kupokea maoni tofauti naamini hapa...
Habari za mda huu ..
twende Uber facts thread
'Harvard University is older than the United States'
'Denmark and New Zealand are jointly ranked as the least corrupt countries in the world'
'About 8.9% of the world's population — 690 million people — go to bed hungry every night'
'Smoking...
Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt
Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida.
Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya...
Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss. Iwe ya biashara account ninayo ya Uber pamoja na Bolt
Leseni ninayo iko active
Tutaandikiashiana kwa mjumbe ili uaminifu uwepo
Barua ya utambulisho serikali za mitaa nitaambatanisha
Yeyote mwenye gari yake naomba tuwasiliane...
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712
Gari iwe sienta...
Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga
Nakaribisha mawazo yenu
Habari zenu,
Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti ya uber na bolt. Nimejaribu kufanya mchakato wa kujiunga ila gari yangu imekosa baadhi ya vigezo haswa umri wa gari na ukubwa wa engine ila naona wenye gari kama yangu wengi wanazitumia kwenye hizi biashara so naamini inawezekana..
Kama...
Mimi ni dereva wa mtandaoni - Uber/Bolt/InDrive na ping - natafuta gari ya mkataba au hesabu.
Akaunti zote zipo active.
uzoefu wa kutosha/uwaminifu mkubwa.
Gari (IST/Raum/ )zitafaa zaidi sio lazima inaweza ikawa gari yoyote.
Napatikana Dar es salaam/TEGETA.
Mawasiliano 0656539177.
Asanteni
Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi.
Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
Habari wanajukwaa
Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.
Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara kama inalipa kwa kiasi gani na changamoto za biashara kiujumla.
Asanteni
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '
Kwa mawasailiano zaidi
Ernest : +255628729873
Naomba ushirikiano wenu
Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya.
Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam.
Namba yangu ya simu ni 0686 574164.
Natanguliza...
Uwoya akiwa vacation Dubai na mwanaye ameposti video akiwasili na kuita uber ikaja Rolls Royce Ghost ambayo ina bei ghali kuliko culinan ya msanii wa WCB.
Hii ni dharau kubwa sana kwa msanii ambaye kavunja kibubu chake cha miaka 13 kununua RR then wewe Uwoya unapanda Uber ya Rolls Royce ya bei...
Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke.
Je, hii inawezakana?
Indriver ni app bora kuwahi kutokea katika teknolojia ya usafiri nchini Tanzania kwa sababu zifuatazo:-
1). Abiria anapendekeza bei ya safari kulingana na uwezo wa mfuko wake na Inatoa mwanya wa majadiliano ya bei na dereva mpaka kufikia muafaka. (Ukizingatia Wabongo kwa kupenda ku-burgain, hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.