uber

  1. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  2. Kwa Uber na Bolt unaweza kuingiza kiasi gani kwa siku?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza mwenye uelewa kuhusu hizi private cars (Uber, Bolt etc) unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa siku faida na hasara zake anisaidie au kama kuna dereva ana uzoefu na hii kazi tuwasiliane tukielewana tunaweza fanya kazi pamoja.
  3. S

    Unanishauri nini mimi dereva ninaeanza kuendesha Uber na Bolt?

    Ndugu zangu katika kupambana na maisha kijana mwenzenu hatimaye nimepata IST na nimekamilisha taratibu zote za kuanza kufanya kazi ya Uber na Bolt. Gari ni yangu japo si mpya sana ila bado nzima kabisa nimefunga na AC. Sasa kwa kuwa ndio naanza najua kuna mengi natakiwa kujifunza. Ningeomba...
  4. E

    MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

    Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari.... •Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu? •Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako? •Je unahisi kuchoshwa na kukataa tamaa na bishara ya usafirishaji? •Je unatamani kupata dereva...
  5. Uber yarejea kutoa huduma za usafiri Dar

    Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021. Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
  6. Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  7. M

    Nyakati za usiku mnafanya nini BOLT/UBER wasikatae maombi (request) yenu?

    Habari zenu wanajamvi Kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kusakata rhumba usiku kucha hususani weekend mtakuwa na uzoefu kama wangu juu ya usafiri wa hili jiji la Dar. Juzi nlikuwa na wana kwa party Kurasini, Kilwa road mtaa wa Loliondo. Tulikuwa wana kama wote, vile tunamimina maji toka saa 4...
  8. Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
  9. Maisha baada ya Uber na Bolt

    Wakuu habari Kama wengi tulizoea kutumia huduma za Bolt au Uber katika kuingiza kipato. Ningependa kufahamu baada ya hizi app mbili maarufu kusitisha huduma maisha yanasongaje kwa kutumia app zingine? App ama Paisha, Tantax, Indrive,Little Ride,Taxify....nk zina faida nzuri? Au watu...
  10. Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
  11. Siasa isiingilie Uber na Bolt zipunguze gharama kwa wateja

    Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa! Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari...
  12. T

    Uber wamerudi mjini kimya kimya?

    Majuzi juzi hapa nilisikia uber wamefunga biashara Tanzania kutokana na sheria kandamizi, za kutaka wachukue 20% ya mapato ya dereva na wao wanataka 25% kama sijakosea. Jana Uber wamenitumia meseji kwa kuniapa offer za safari za mjini kwa discount kubwa tu. Swali langu, je uber wamerudi...
  13. Which is cheaper Uber or Lyft?

    Both the taxi businesses serve in the USA and Canada. The only difference between the two is the pricing. So, how would you claim which is cheaper? There is no fixed answer as there is no fixed pricing per ride. I have tried both apps, and I like both too. Coming to the companies who were...
  14. T

    Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  15. Uber hawajaondoka wapo

    Kwa habari sa uhakika nilizonazo, Uber hawajafunga virago. Huenda wameelewana na serikali bado wapo wanaendelea kupiga kazi. Mshana Jr
  16. H

    Baada ya Uber kusitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA, waliobaki hawana standards na discipline

    Uber wamesitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA. Binafsi ingekuwa jambo la busura kuacha market forces kudetermine wanataka nini. Kama Uber wanachukuwa 25% na wewe unaona ipo juu basi nenda to another operator. At the moment quality of services being provided by remaining...
  17. Madereva Uber pasua kichwa!

    Bora Uber wamesitisha hii huduma. Maana wengi wa madereva hawajielewi. Uelewa, huduma kwa wateja, usafi SIFURI **Unamkuta dereva ananuka harufu Kama hajaoga miaka na hapo anataka ratings nzuri. "***Ni vyema Hawa madereva wakafunzwa kabla ya kupewa magari
  18. Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

    Wakuu, Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi: 👇🏾 Huduma ambayo ilianza kama wazo tu — la kutumia simu yako kupata usafiri ndani ya dakika chache— Mfumo wa Uber umeenea duniani kote na zaidi ya safari milioni 15 hufanyika kila siku kupitia kwenye mfumo huu. Imekuwa ni heshima kubwa...
  19. Madereva waandamana kwenda LATRA wanataka Uber, Bolt wapandishe bei ya nauli

    Madereva wa taxi za mitandao (Uber na Bolt) wameamua kuandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhnj(LATRA), kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa wahusika bado hawazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta Source: Dar...
  20. Uber driver natafuta gari

    Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt Gari ndogo. Hesabu au mkataba vyote sawa Kwa yeyote Alie nayo Napatikana Temeke Mawasiliano: 0717285828
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…