Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi.
Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi.
In fact,almasi hatuisikii kabisa.
Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school.
Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki.
Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...