Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya.
Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari!
Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii
Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini.
Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini siwafichi kazi ya kulijenga taifa hili itaendelea kuwa ngumu, ngumu haswa kama viongozi hamtaacha ubinafsi. Nasisitiza tena, taifa hili halitasonga mbele kama viongozi hawataacha ubinafsi.
Nchi hii ina utajiri mkubwa sana wa...
Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi.
Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia
Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep .
Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
Habari wanaBodi..
Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana.
Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia.
Ubinafsi wa Wanasiasa...
Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka
---
Anaandika...
Yanga kwa sababu ya kuwakomoa TFF wameamua kujificha nyuma ya kanuni kususia mchezo wao wa 08.05.2021 na watani wao simba. kitendo hiki si cha kistaraabu hata kidogo na sijui wanatarajia kufaidika na nini. Hivi TFF wakiamua kuishi kwa kanuni Yanga itabaki kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.