Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone!
Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika.
Lakini wanawake tuache ubinafsi!
Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute.
Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
Anaandika Ndugu MalisaGJ
TATIZO LA KUJIUA KATIKA JAMII
"Kwako mke wangu
(Mama Derick). Naomba nisamehe sana kwa maamuzi haya. Maisha kwangu hayana maana tena, nisamehe sana. Nimejitahidi nimeshindwa naomba uwatunze watoto wetu” sms ya mwisho ambayo Sajenti William Giriango Chacha (40) askari...
By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake.
Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania.
Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai.
Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
Habari wanaJF?
Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu.
Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
Tabia ya ubinafsi inaliua taifa. Mali ya taifa siyo ya mtu mmoja,siyo ya familia moja. Na watu wengine wanatuambia kwamba hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii wakati tunaona wao wenyewe ndio wana hati miliki ya nchi hii.
Kwa hiyo awamu bàada ya awamu ya viongozi: kila kiongozi anakula...
Achana na nyumba wanazojemgewa.
Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe?
Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika.
Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo.
Taabu gani makwetu Tanzania basi?
Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
Wanabodi heshima kwenu.
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
Historia au Biography yake...
John Stephen Akhwari was a Tanzanian distance runner who ran the marathon at the 1968 Mexico City Olympics. He is best remembered as a subject in a Bud Greenspan film of those Olympics.
Akhwari was hobbled by a leg injury, and ran with his knee fully bandaged...
Uzalendo ni nini?
Ubinafsi ni nini?
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?
#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Kwa jinsi nilivyo na haraka nikusalimu kifupi tu, Uhali gani?
Baada ya kukaa kuwaza nimekuja kujua wengi wetu ni wabinafsi sana, na wengine hata hatujui kuwa tunachofanya ni ubinafsi wa kutisha.
Wewe unajiona kabisa una familia au niseme mtoto ili uelewe vizuri, ila still una mawazo mgando ya...
READER DISCRETION IS ADVISED
Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni...
Wiki mbili mfululizo sasa kumekuwepo na kelele nyingi kila kona ya nchi kuhusu upungufu na mgao ya maji katika miji na majiji.
Katika maeneo ya vijijini sehemu nyingi za nchi maji limekuwa tatizo kubwa toka nchi hii inapata uhuru lakini hatujawahi kusikia kelele na mayowe kama wiki hizi mbili...
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.
Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
Ni kweli tuna unapungufu wa wanataaluma katika vyuo vyetu ila haijatokea kwa bahati mbaya. Katika vyuo vyetu hivi kama huna Surname inayofanania ni na Profesa fulani kupata nafasi ya ukufunzi hiyo ni ndoto. Katika sehemu ambazo kwa kiasi kikubwa zimejaa undugu na kujuana kwa kiasi kikubwa ni...
Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi
"Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."
Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha
Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa...
Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni.
Unfortunately, kwa sasa...
Leo nimewaza sana,
Nakumbuka miaka ya zamani tunakua, kulikuwa na ukaribu mkubwa sana baina ya watu. Ilikuwa inafika kipindi watu wa mtaa mzima tulikuwa tunafahamiana vizuri kabisa hata kutembeleana. Hili lilikuwepo kuanzia mitaa ya uswahilini, hadi uzunguni.
Kuanzia shuleni, tulikuwa tunasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.