ubinafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

    Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku. Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha. Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa...
  2. Mto Songwe

    Waafrika tunaupenda umasikini na kuona ni ufahari. Ubinafsi unatuangamiza

    Waafrika sisi watu watu weusi neno umasikini kwetu ni neno la faraja na utajiri ni chukizo masikioni mwetu. Je, ni wazazi wangapi au familia ngapi za watu weusi zinafanya hivi? ⏬ Au ndio tuna andaa tabaka la kimasikini katika jamii yetu kila siku? lukesam JF-Expert Member "Hatuwezi kuwa...
  3. sammosses

    Ni ubinafsi au ni chaka la maokoto lililokosa msimamizi?

    Kodi za Mtanzania hazijawahi kuheshimiwa na hii kwa kuwa kitabu alichokiita mama kinatoa Mwanya huo. Ukiangalia katiba ya JMT ibara ya 137.-(1) Rais atatoa maagizo kwa watu wanaohusika kuandaa na kuwasilisha kwenye Bunge katika kila mwaka wa fedha wa Serikali makadirio ya mapato na matumizi ya...
  4. L

    Ubinafsi, uroho na tamaa za watawala sheria ya mafao kustaafu katika utumishi wa kisiasa

    UBINAFSI, UROHO, TAMAA, WATAWALA! Serikali imepeleka bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambayo kuna marekebisho katika sheria 10 ikiwepo sheria ya mafao ya kustaafu katika utumishi wa kisiasa. Muswada unapendekeza kiongozi aliyeshika nafasi ya ofisi ya Rais na kustaafu, mwenza...
  5. MlekwaKik

    SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  7. Muuza Viat

    Ubinafsi ni changamoto katika mirathi

    Mzee alikuwa mfanyakazi wa bandari ya Dar kama zimamoto geti no.7/8 mpaka alipostaafi. Kilichomgharimu huyu Mzee ni kama wazee wengine tu alijenga kijijini kwake akiamini baada ya kustaafu angerudi huko lkn mwishowe alibadili gia angani na kulazimika pesa ya kustaafu ndio aitumie kujenga jengo...
  8. P

    Walipopoteza unyenyekevu na Taifa likaanza kupoteza maadili na ubinafsi ukaanza kuota mizizi

    Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi. Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
  9. sky soldier

    Baba yangu hakuwa anawaamini watu. Alianza kunijengea tabia ya ubinafsi na kujitenga, nashukuru nilistuka mapema

    Nahisi mzee aliwahi kufanyiwa matukio kadhaa ya usaliti na walio wahi kuwa marafiki zake ama ni yeye mwenyewe hakuwa anachagua marafiki sahihi na hivyo kutendwa na wenzake. Sote tunajua kwamba watu wapo wazuri na wabaya lakini hii sio sababu ya kumbana mtoto kuwakwepa kabisa watu kwa kumkinga...
  10. Teslarati

    Wanawake acheni ubinafsi, mwanaume kuwa na mchepuko inasaidia pande zote mbili

    Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine. Ila niwe mkweli, wanawake acheni ubinafsi. Takwimu zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukienda mbali zaidi...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  12. NetMaster

    Maoni: Ubinafsi na uchoyo ndio huchangia zaidi kabila kukosa maendeleo

    UBINAFSI Ni tabia ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine hutaki wengine wawe kama wewe pale unapokuwa na nafasi fulani kudharau wengine Katika baadhi ya makabila kuna watu miongoni mwao wamepata nafasi kubwa ya kuwasaidia wengine lakini wameshindwa kwa sababu ya ubinafsi matokeo yake jamii zao...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume tuache Ubinafsi

    WANAUME TUACHE UBINAFSI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nilikuwa natoka Mashariki kuelekea Magharibi, sasa nitatokea Magharibi kurudi Mashariki. Kaskazini kwenda kusini kisha , kusini kurejea Kaskazini kama pepo za Kusi. Hivyo ndivyo safari yangu ilivyo. Niite Taikon wa Fasihi, Kutoka Nyota...
  14. C

    Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  15. NetMaster

    Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana. Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
  17. Crocodiletooth

    Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  18. JanguKamaJangu

    Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  19. GENTAMYCINE

    Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

    Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za magoli. Na kwa uwezo mkubwa na kipaji cha mwenye timu yake Clatous Chama, nina uhakika zote angefunga...
  20. comte

    Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
Back
Top Bottom