Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

MABATI YA SUNBAK TANZANIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
217
Reaction score
577
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .

Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.

Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
 
Rubbish, poor thinking!
 
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.

Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.

Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.

Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...

Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
 
Mbowe alituzidi akili kwa muda mrefu sn
 
Biashara zipi hizo zisotajwa?
 
[/QUOTE

😁😁😁😁
 
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .

Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.

Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Weka ushahidi usiotia shaka hata document moja ya malipo.
 
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.

Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.

Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.

Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...

Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Kama hauko kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa utakuwaje bilionea ?acha kuhadaa nyumbu wenzio ,mzee Mbowe sio bilionea hata kidogo.
 
Back
Top Bottom