Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Nyumbu walikuwa wamelala usingizi wa pono bila lissu kuwaamsha ingekuwa noma.Ni kweli kabisa ,nyumbu wanamwita huyu mzee ni bilionea wakati tax records zake hazionyeshi kama ni mlipa kodi mkubwa