Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.

Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.

Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.

Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...

Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Duh 😀😀
 
Alikuwa akiudanganya umma eti kwamba ni mfanyabiashara mkubwa na ana marafiki wengi, kumbe mhuni tu.
 
Huyu mzee ameharibu future ya vijana wengi sana hapa nchini aisee
Niliwahi sema adui mkubwa wa upinzani nchi hii ni mbowe.... Nikawambia anaye subiri/ taraji mabadiliko kupitia mbowe ni sawa na anaye subiri nguruwe kuota mabawa( when pigs fly)......niliambulia matusi hasa
 
Braza K Mapovu ametengeneza nyumbu wengi waropokaji. Wanafyatua uzushi tu na matusi. Mbowe aliyewaongoza kwa mafanikio makubwa leo mnamtendea hivi kwa maagizo toka Nairobi?
Wewe ndio nimeona umecomment bila mhemko. Mbowe angekuwa CCM angekaa jela muda wote huo na mali zake kunyang'anywa. Mateso yote aliopitia ndio shukrani anayopata toka kwa watu aliowatetea.
 
C
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .

Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.


Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Cha mwingi au secondary,Ni swala la Muda tuu...!
Poleni Sana BAVICHA..
 
Kwa wajinga tu... alipomleta lowassa tu, mimi nikajua yule ni dalali.. akaja akaleta COVID 19 nika weka nukta. Achana na ujinga wa 4R sijui nini.
Sasa CHAUMMA.
Hakuna ni kawaida sn mkuu, hivi vyama ni maduka ya watu
 
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.

Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.

Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.

Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...

Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Hizo simulizi tushazisikia sana lakini sie wengine tunafahamu haikuwa rahisi kuwa Bilionea enzi za Nyerere! Hebu tuorodheshee hapa biashara za Mzee Mbowe! Mimi naanza na:-

1. Mbowe Hotel, Dar es salaam.
2.
3.
4.
5.
.
.
.
25.

Endeleza hiyo list, na acha stori za "hoteli zote" tunazosikia kwa sababu binafsi nimejisikia huko Daslam kuna hotel inaitwa Serena, Landmark, Sea Cliff, Holiday In, n.k! Kwahiyo na zenyewe zimeanzishwa na Bilionea Mbowe?
 
Watu wa vijijini wsmevamia siasa za mjini
Ruduni huko vijijini kwenu mkahamasishe siasa, huko ndio CCM ilipo.
Huku mjini na mitandaoni yatabaki kuwa makelele
Mbowe kawaachia CHADEMA badala ya kupambana na CCM, mmejionyesha ujinga mwingi wa kumuandama Mbowe
Hata mabadiliko ya katiba yakifanyika sioni vyama vya upinzani kurudi tena bungeni na wabunge wengi kama 2010
 
CCM waliwaambia CDM ni Saccos ya Mbowe shtukeni mkabisha hadi wengine mkataka kupigana.....aiseee.
.sasa CHAUMA hii na Landcluser zaidi ya 50 kila moja si chini ya mil 200. Kufanya mikutano nchi nzima ni zaidi ya mil 500. Hela za kuwalipa wajumbe wa mkutano zaidi ya 3000, ukumbi nk ni zaidi ya mil 300.

Hela wametoa wapi?? Takukuru hebu anzeni na huyo katibu kwanza afu kuna jamaa mmoja anaitwa Mrema hawa watawaambia vyanzo vya mapato vya CHAUMA.
 
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.

Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.

Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.

Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...

Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Ningekuwa mimi ndio Mbowe, hakika ningendelea kuwa CHADEMA na kumpa ushirikiano Lisu ili kulinda heshima kwa sababu kosa moja linaweza kumshushia heshima yake kuhusu kupigania demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania. Rejea kwa Lipumba. Alikuwa moto lakini alipofanya kosa la kuwa kigeu geu, leo hii amepuuzwa.

Huwezi kujadili siasa za vyama vingi Tanzania bila kuhusisha jina la Lisu, Mbowe, Silaha, Lipumba na Maalim. Lakini makosa madogo madogo yanamshushia mtu hadhi yake na kudharauliwa, mfano huyo mzee Lipumba
 
Back
Top Bottom