Chacha Wangwe aliuwawa na CCM ili kumpakazia Mbowe na Chadema lakini ilibuma ndiyo maana hata kwenye uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya Chadema ilishinda tena kwani hata wapiga kura na wanachi wote wa Tarime walijua kuwa ni CCM ndiyo walimuua Wange, hadi leo watoto wa Chacha Wangwe ni makada watiifu wa Chadema. Pia ishu ya Zitto kupewa sumu ni uongo, Zitto alishtukiwa kuwa ni wakala wa TISS na habari za kiuchunguzi za yeye Zitto kutumika na mfumo kuihujumu Chadema ziliandikwa vizuri sana na gazeti la Mwanahalisi.