Ni haramia Gaidi na jizi la kisiasaMbowe ni kati ya majambazi ya kisiasa .
Ni haramia Gaidi na jizi la kisiasaMbowe ni kati ya majambazi ya kisiasa .
Kwani nani kamshikilia hadi useme hawezi? Wewe utakuwa ni mnufaika wa wizi wake na pia utakuwa chawa wakeAchaneni na mbowe kwani hamumuwezi......mtafirika zaidi. Ushauri tu lakini.
Kama nikiambiwa nitaje majambazi yenye nyuki masikioni ni mbowe na maCCM . Yanacheza na pesa za ummaNi haramia Gaidi na jizi la kisiasa
Kwa siasa za kujineemesha si kuwalenga walipa kodiMbowe ni kiongozi bora wa mfano katika siasa za "upinzani". Kama unataka kufanya siasa za "upinzani" kuwa kama Mbowe
Mkuu hii nchi hakuna faida ya kufanya siasa za kuwapigania walipa kodi, hao walipa kodi wenyewe hawajui wanataka niniKwa siasa za kujineemesha si kuwalenga walipa kodi
Mbowe alikitoa mbali chama sasa sisi tumeamua kuchangishana ili tusimame na kuchukua dolaMbowe alituzidi akili kwa muda mrefu sn
Siyo ya Mbowe zamani ilikuwa ya Tazara na ilikuwa inaitwa Tazara Club, nafikiri kwa sasa inamilikiwa na taasisi moja ya serikali.sidhani kama ni ya Mbowe...sijui anyway
Hili andiko lako lina dhihirisha ujinga ulio naoKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Kiongozi wa mfano upi? Alimwekea zito sumu akataka kumuua, alimtanguliza mbele za haki wangwe, aliiba pesa zote za chama na sasa ni Dalali wa G55 kwenda Chaumaccm ana ubora gani hapo? Acheni kujitoa fahamu kufagilia ushetani wa mboweMbowe ni kiongozi bora wa mfano katika siasa za "upinzani". Kama unataka kufanya siasa za "upinzani" kuwa kama Mbowe
Wewe chawambowe ni mnufaika wa wizi wakeHili andiko lako lina dhihirisha ujinga ulio nao
Elewa maana ya fungua na funga semi katika neno "upinzani" usikurupukeKiongozi wa mfano upi? Alimwekea zito sumu akataka kumuua, alimtanguliza mbele za haki wangwe, aliiba pesa zote za chama na sasa ni Dalali wa G55 kwenda Chaumaccm ana ubora gani hapo? Acheni kujitoa fahamu kufagilia ushetani wa mbowe
Nchi ina mahitaji mengi barabara mbovu hospital hazina dawa vyuo havitoshi na mengineyo mengi, lakini nyinyi chawambowe msivyo na huruma na kodi za watanzania mnaamua kula pesa za walipa kodi kuwauza G55 kwa Chaumaccm kwa njia haramu za kishetaniMbowe ni kiongozi bora wa mfano katika siasa za "upinzani". Kama unataka kufanya siasa za "upinzani" kuwa kama Mbowe
Ukishakuwa mnufaika wa michongo haramu ya mbowe ni vigumu ukubali chochoteElewa maana ya fungua na funga semi katika neno "upinzani" usikurupuke
SureMbowe alikitoa mbali chama sasa sisi tumeamua kuchangishana ili tusimame na kuchukua dola
Kuna aibu kubwa snUnapata faida gani kutumika je kuongezeka kwa ruzuku na wabunge kuna maana yoyote ikiwa watu unawazunguka na kujipatia cha juu.
Chacha Wangwe aliuwawa na CCM ili kumpakazia Mbowe na Chadema lakini ilibuma ndiyo maana hata kwenye uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya Chadema ilishinda tena kwani hata wapiga kura na wanachi wote wa Tarime walijua kuwa ni CCM ndiyo walimuua Wange, hadi leo watoto wa Chacha Wangwe ni makada watiifu wa Chadema. Pia ishu ya Zitto kupewa sumu ni uongo, Zitto alishtukiwa kuwa ni wakala wa TISS na habari za kiuchunguzi za yeye Zitto kutumika na mfumo kuihujumu Chadema ziliandikwa vizuri sana na gazeti la Mwanahalisi.Kiongozi wa mfano upi? Alimwekea zito sumu akataka kumuua, alimtanguliza mbele za haki wangwe, aliiba pesa zote za chama na sasa ni Dalali wa G55 kwenda Chaumaccm ana ubora gani hapo? Acheni kujitoa fahamu kufagilia ushetani wa mbowe
Pesa za walipa kodi nyingi zinateketea kwa mambo ya hovyo yasiyo na Tija kwa Taifa, mfano hii pesa inayoibiwa kwa kisingizio cha kuudhofisha chadema ingepeleka maendeleo kwa wananchi leo ccm isingekuwa inahangaika kupata kura wala kuhaha kuhujumu chademaTapeli mbowe,Hana tofauti na Nicole Berry,wote wanapata pesa kwa njia ya utapeli! Nchi ya matapeli hii.