Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.
Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.
Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.
Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...
Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.