WANAUME TUACHE UBINAFSI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Nilikuwa natoka Mashariki kuelekea Magharibi, sasa nitatokea Magharibi kurudi Mashariki. Kaskazini kwenda kusini kisha , kusini kurejea Kaskazini kama pepo za Kusi. Hivyo ndivyo safari yangu ilivyo.
Niite Taikon wa Fasihi, Kutoka Nyota...