Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma.
CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma...