Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha.
Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha...
Wakuu,
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar.
Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge.
"Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho wao wanaenda na Tundu Lissu kwa nafasi ya Mwenyekiti na John Heche kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea...
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya cha viongozi kama Tundu Lissu.
Dkt. Slaa ametoa maoni hayo...
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za...
Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura linalotarajiwa kufanyika Februari 27, 2025.
Soma, Pia: Afisa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema:
"Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama.
Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu.
Namtakia Kila la heri.
Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
==
https://www.youtube.com/live/N5uOf6VW-OA?si=oguOArFN95aS-bTR
Hatimaye Mwamba mwingine wa siasa toka CHADEMA Mhe John Wegesa Heche anaunguruma muda huu kupitia wanahabari wa nje na ndani ya Tanzania,
Huenda Mhe John Heche akatangaza kumkabili vikali Ezekiel Wenje kwani tayari...
Wanabodi,
Wanawake visiwani Zanzibar wenye sifa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura katika zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Febuari Mosi hadi Machi 17, Mwaka huu
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Idara ya Wanawake na Watoto Sitti Abbas...
Wakuu,
Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.
Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga.
Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya...
Wakuu,
Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea
=====================
Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje.
Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
Wakuu
Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa;
"Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.