uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

    Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Wapambe wanawagombanisha Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema; "Chama (CHADEMA) ni kikubwa kuliko mtu yeyote, hii dunia wote...
  6. Waufukweni

    Steve Nyerere: Acha nidhalilike kwa ajili ya ndugu zetu hawa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji maalum, amesema; "Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha...
  7. T

    Napendekeza Kikwete na viongozi wakuu wastaafu waongezewe ulinzi kipindi hiki cha uchaguzi

    Natoa pemdekezo viongozi wote wastaafu walio kuwa high level waongezewe ulinzi. 2025 ni mwaka wa uchaguzi hawa wazee wana nafasi kubwa kwenye maamuzi magumu ya uchaguzi hawatopendelea ila watatenda haki na kwa sababu hiyo wanahitaji special ulinzi ukihusisha in and outside security. Huu mwaka...
  8. M

    Pre GE2025 Mifumo Dume bado ni changamoto kwa Wanawake katika Vyama vya Siasa Nchini

    “Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume. “Hiyo ni kwasababu ya kushamiri kwa “Mifumo Dume” katika vyama vya Siasa nchini, nilitamani kuingia kwenye uongozi kufanya...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!

    Wakuu, Kash kash zimeanza rasmi sasa! ===== Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Ubungo katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Ubungo Plaza...
  10. Suley2019

    Pre GE2025 CCM Njombe yawaonya watakaotoa zawadi bila vikao halali

    Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika. Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
  11. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika mpaka kufikia kwenye uchaguzi wenyewe, matokeo ya uchaguzi huo...
  12. Msanii

    Pre GE2025 Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo na siyo Oktoba 2025

    Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia. Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Kadogosa: Ni haki kumuombea Rais Samia kwa jinsi anavyohangaika kutafuta fedha za maendeleo

    Wakuu, Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia! Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan, kwani ndiye kiongozi wa nchi na amekuwa akishuhudia juhudi zake kubwa za kutafuta...
  14. M

    Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana. Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Simiyu: CCM Busega wachanga pesa kwaajili Rais Samia na Mbunge kuchukua fomu ya kugombea 2025, wengine watoa ng'ombe

    Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
  16. Johnson Alex Otieno

    ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  17. T

    Pre GE2025 Pambalu: Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora

    Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x -- Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia

    Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa. Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

    Mwenyekiti wa CHAFEMA, Freeman Mbowe akiwasili tayari kuzungumza na wanachama waliojitokeza nyumbani kwake leo Desemba 18.2024.
  20. The Palm Beach

    Exclusive Interview: Tundu Lissu amwakia mwandishi kwa kutokujua maana ya "Tume Huru ya Uchaguzi". Bila mfumo mpya wa uchaguzi hakuna uchaguzi 2025

    Courtesy: Mwanahalisi online TV In summary: 1. Amkemea mwandishi kwa kusisitiza kuwa, serikali ilishafanya mabadiliko waliyoyataka ya kuundwa "Tume Huru ya Uchaguzi". Yeye amkemea na kumwambia: "....kama unaamini kuwa kilichopitishwa na Bunge mwanzoni mwa mwaka huu ni Tume Huru ya Uchaguzi...
Back
Top Bottom