Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Binafsi ,ninaamini Rais ni mbeba maono na mzalendo wa kweli ndio maana nitafurahi kama...
Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi.
2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake.
Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake
Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu
Baada ya...
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.
Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika.
Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza alliance ambapo wataungana 2025 na kuwa na mgombea mmoja wa urais, ubunge na udiwani kwa kuangalia...
Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024.
Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam
Endelea kufuatilia taarifa zaidi...
JERRY SILAA...
Wanabodi,
Makala yangu Nipashe ya Jumapili.
Bado niko Jijini Washington DC, nchini Marekani, kwenye haya na yale.
Hii ni makala ya swali, hiki kilichotokea kwenye matokeo ya uchaguzi wa Marekani, kutomchagua mgombea mwanamke kwa sababu nyingine zozote, ila moja ya sababu hizo, inaweza kabisa...
Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu mchakato wa baadhi ya vyama vya siasa kupata wawakilishi kuelekea uchaguzi wa serekali kuu na uchaguzi wa mwakani.
Vyama vingi vya siasa vimekua vikilalamika wagombea wao kuenguliwa kwa kukosa sifa za kugombea kwenye Chaguzi hizo, japo madai haya bado...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali.
Miongoni mwa mbinu...
WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za Wanawake Viti Maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo.
Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo inawafanya kudumaa kuwa...
Wakuu,
Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael Kaniki Kaimu Afisa ushirikishwaji Jamii Mkoa wa Tanga amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga...
Wakuu,
Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa.
Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Hayo yamebainishwa...
"Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi...
Asalaam Aleykum wana jamvi.
Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50.
Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
Baadhi ya wanawake waliojitosa kuwania uongozi wa kisiasa, wamesema walikumbana na udhalilishaji mtandaoni, wakiitaja mitandao ya kijamii kuwa "sumu kwa wanawake kisiasa"
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa...
Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC
Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu mkubwa uliofanywa ikiwemo uwepo wa wapiga kura hewa takriban 300.
Orodha ya wapiga kura...
Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo.
Sasa hapo ndio CCM itaibuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.