uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Kwanini vyama vya siasa kila siku ni katiba mpya na ununuzi wa ndege? Athari za mabadiliko ya nchi kwanini hamzipi vipaumbele?

    Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu akiwa BBC: Kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa haki

    Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki. Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa...
  3. mwanamwana

    Ndolezi Petro: Polisi waache kutumika kisiasa kwenye michakato ya uchaguzi, wawaachie wanasiasa kunadi sera zao

    Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, anayeshughulikia masuala ya Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Mhandisi Ndolezi Petro, amekosoa uchaguzi wa mwaka 2020, akidai kuwa haukuwa huru na haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara jimboni Bumbuli, Mkoani Tanga...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  5. Afcon 2027

    Pre GE2025 Nani huamua chama kitoe fomu moja ya mgombea wa Urais?

    Habari wanajamvi, Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
  6. B

    Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

    Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia. Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo. Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr...
  7. econonist

    Pre GE2025 Kampeni za 2025 zijikite kwenye usalama na uchumi

    Wote wenye Nia ya kugombea nafasi za uongozi hasa uchaguzi wa nafasi ya Urais mwaka 2025 wajikite kwenye masuala ya Usalama na uchumi. Kwanza, wajikite kwenye kuimarisha Usalama wa nchi. Hali sio nzuri kwa Sasa kutekwa na kupotezwa imekuwa Jambo la kawaida kwa Sasa. Inatakiwa Rais ajaye aweke...
  8. Yoda

    Pre GE2025 Sioni kama ni afya au tija kwa taifa kwa raia wote kupiga kura katika uchaguzi

    Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito wa kura yenyewe hivyo sio rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi. Matokeo yake watu wa aina hii wakiwa...
  9. LAZIMA NISEME

    Pre GE2025 Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu

    Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa Mwanasiasa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA. Akihojiwa na moja ya Chombo cha Habari hivi Karibuni, TUNDU...
  10. kavulata

    Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
  11. Synonyms MP

    Tetesi: Lissu karibu CCM Upumzike

    Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa Huenda CCM...
  12. R

    Pre GE2025 Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii 2025

    Salaam, Shalom!! Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya. 1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa miaka 200 ijayo. Muumini wa mifumo Imara, mzalendo wa kiuchumi. 2. Rais atakayekuwa na msimamo...
  13. J

    Pre GE2025 Hiki hapa kinaweza kuing'oa CCM Ikulu 2025

    Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 - 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya kutangaza kuhamia ACT Wazalendo baada ya Bunge kuvunjwa. Mwananchi imefanya mahojiano maalumu na mbunge...
  14. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Rais Samia: Uchaguzi ujao chagueni maendeleo, anayekufaa wakati wa dhiki ndiye rafiki

    "Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki zote, kula, kuvaa na yote, unakwenda kwa rafiki mwingine nje ya nyumba yako ambaye hakufai kitu au...
  15. J

    Pre GE2025 Baadhi ya wabunge watishwa na matokeo ya TLS, wahofia majimboni watapendwa watetezi kama Mwabukusi

    Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS. Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni. Nimeogopa sana 🐼 Sabato Njema 😄...
  16. Jidu La Mabambasi

    Pre GE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

    Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri. Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao. Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu zote nchini. Tatu, kutumia hila kumzuia Mwabukusi hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa...
  17. Idugunde

    Pre GE2025 Mwabukusi ameshinda, Je CHADEMA ya Mbowe itanufaika vipi kisiasa? Naona wanapiga mayowe kila kona

    Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos? Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa) Kwamba Lissu atashinda 2025? Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania. Soma=>...
  18. iamwangdamin

    Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Chagueni CCM kwani ndicho chenye ilani bora inayotekelezeka

    CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara Katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini amesema Chama cha Mapinduzi ndo kinatekeleza...
  19. M

    Pre GE2025 CHADEMA fanyeni mbinu zote mumnase Nape; ni msema kweli. Kaondolewa Uwaziri kwa kusema ukweli

    Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata. Mtakuja kunishukuru. Mbinu zote za ushindi anazijua
  20. Nkarahacha

    Pre GE2025 Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru na Oliva waungana kwenye mkutano wa hadhara

    Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba. Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la kuyasema yale yaliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita. Dkt Bashiru ni kwa mara ya kwanza kushiriki...
Back
Top Bottom