uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Pre GE2025 Ilani ya CCM ya 2020-2025 ina viporo vingi, vimalizike kwanza kabla ya kuandaa ilani ya mwaka 2025- 2030

    Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu: 1. Ujenzi wa barabara: - Jiandae kwa utekelezaji wa mradi wa kujenga barabara ya lami kutoka Geita hadi Kahama kupitia...
  2. mwanamwana

    Pre GE2025 Dkt. Slaa: Namuunga mkono Mbowe kushiriki chaguzi zijazo hata kama Serikali haitokuwa tayari suala la Katiba Mpya

    MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata kama Serikali haitakuwa tayari kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Akizungumza na MwanaHALISI Online...
  3. Erythrocyte

    Dkt.Slaa: Mabadiliko ya Mawaziri, Serikali haijui inataka nini, kubadili viongozi kama Gauni haisaidii kitu

    Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi...
  4. Oppomall

    Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

    Salaam! Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki. Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni...
  5. J

    Pre GE2025 Narudia tena Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu sana Usidanganyike na Siasa za 2030!

    Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK Wapinzani watapokea Wanaccm wengi watakaofeli kura za maoni kama ilivyokuwa 2015 Ahsanteni Sana 🐼 cc...
  6. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Hii haifai, Waziri wa OR Tamisemi anamkusanyia fedha Rais Samia ili agombee 2025 akiwa anafanya shughuli za kiserikali sio za kichama

    BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mwanza: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa...
  9. Kuli Msomi

    Pre GE2025 Napendekeza Uchaguzi wa mwaka 2025 kuwe na Mdahalo wa Wagombea Urais Tanzania

    Habairini za kazi ndugu Watanzania, Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa Wagombea wote wa Kiti cha Uraisi Tanzania. Pia ningependekeza mdahalo uwe...
  10. Roving Journalist

    Pre GE2025 Simiyu: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Simiyu ni mojawapo ya mikoa ya Tanzania, ulioko...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Kiukweli 2025 simuoni Rais Samia akishinda kwenye Boksi la kura kama upinzani wakiweka mtu mahiri

    Habari za usiku wakuu! Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi. Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao...
  12. RWANDES

    Pre GE2025 Rais Samia hakubaliki Tanzania 2025, kazi iliyopo ni kutumia mbinu mbadala

    Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi ndiyo maana hakemei wizi na hana nguvu ya kufukuza kazi waziri yeyote kwani alishaaminishwa na mzee...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mara uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, una historia...
  14. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

    Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao. Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha. Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Shinyanga: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni...
  16. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kigoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kigoma ni mkoa uliopo magharibi mwa Tanzania, ukipakana na...
  17. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

    Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa... Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi. Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo...
  18. J

    Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

    Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
  19. Nsanzagee

    Pre GE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

    Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
  20. Ojuolegbha

    Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari kufanyika tarehe 18-19 Juni, 2024. Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi

    Wanahabari tuna jambo letu ===== Wanahabari tuna jambo letu Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari. 🗓️ 18-19 Juni, 2024. Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali. 🗓️ 20-22 Juni, 2024. Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalikwa tukutane...
Back
Top Bottom