uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Club House imeachiliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu? CCM na michezo ya kitoto kuhadaa umma kuelekea uchaguzi 2025!

    Wakuu, Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali kuminya uhuru wetu wa kuwasiliana na kupata taarifa. Nilipojaribu kufungua ulikubali, ila nilitoka...
  2. J

    Pre GE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
  3. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi . CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola . CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
  4. Lexus SUV

    Pre GE2025 Watanzania tuombe Rais ajae awe na kaliba ya utunzaji wa rasilimali za taifa

    Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Huyu 2025 mwaka uwe wa mwisho. La msingi ni kuomba tu Halmashauri Kuu ya CCM (maana tunajua ni lazima...
  5. Chakaza

    Pre GE2025 Kumbe kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza. Kampeni Miaka 2 kabla?

    Sasa nimeamini kuwa misemo ya wahenga ilikuwa inafanyiwa utafiti kabla ya kuidhinishwa. Kwa nini kwa muda wa miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu 2025 kumekuwa na kampeni kubwa kumtangaza "mama" kuwa ni bora na anafaa kuendelea kupewa miaka mitano? Kwa nini asiachwe afanye kazi yake na wakati...
  6. mwananyaso

    Pre GE2025 Kwanini mwenezi CCM, Makalla na Katibu Mkuu Nchimbi wamepooza sana kuelekea uchaguzi mkuu ujao?

    Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana. Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao. Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio...
  7. F

    Tetesi: 2025 wapiga kura ni milioni 33, hofu yatanda juu ya ujio wa wapiga kura chipukizi

    Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama. Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo. Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Pre GE2025 Uchaguzi 2025 hatutapata wabunge wengi kama tunavyotarajia. Mbowe kawaingiza mkenge Makamanda wasiotambua

    Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge. Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi. Makamanda...
  9. Suley2019

    Pre GE2025 Kuna Mawaziri wanatamba kwenye Wizara zao lakini majimboni kwao hali mbaya

    Salaam Wakuu, Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu mibovu na matatizo ya msingi kwenye maeneo yao hawayafanyii kazi. Hapa najiuliza Uwaziri umekuwa...
  10. U

    Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

    Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri...
  11. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo Akabidhi Magunia 10 ya Mahindi kwa Wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya...
  12. Black Opal

    Pre GE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote. 2. Ya pili ni...
  13. Replica

    Pre GE2025 Mkuu wa Mkoa kutoa chai na mkate kupunguza wafanyakazi kuzurula muda wa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi kuanzia kesho Jumatatu May 6 2024 ili kupunguza Wafanyakazi kuzurura saa za kazi, kuongea na simu mara...
  14. Kong xin cai

    SoC04 Tusichague viongozi (wabunge) kwa kigezo cha wao kuja kutatuta matatizo yetu. Tuchague viongozi waaminifu na wenye uzalendo juu ya taifa letu

    TANZANIA TUITAKAYO 1.0 UTANGULIZI Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na marekebisho mbalimbali ya katiba yamekwisha fanyika ili kuleta uongozi bora na kuimarisha demokraia nchini. Ni...
  15. R

    Pre GE2025 Watumishi wa umma wakiwemo walimu simamieni Haki katika Chaguzi zijazo 2024 na 2025

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  16. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika

    Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
  17. U

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi: 1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi...
  18. chiembe

    Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  19. Suley2019

    Pre GE2025 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  20. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
Back
Top Bottom