uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Rais Samia: Wananchi kajiandikisheni ili mpate sifa na mpate haki ya kupiga kura

    Wakuu, Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa unaendelea kwa sasa huko mkoani Tanga. Rais Samia alisema: "Niwakumbushe kile kijambo chetu cha mwezi wa...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Rais Samia: Kwa wale wasiojua, baba yangu alikuwa mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu!

    Wakuu, Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu "Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Viongozi wa CCM Kinondoni yatoa mafunzo kwa viongozi 1200 kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kuna nini nyuma na haya mafunzo?

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Ndugu Shaweji Mkumbula, amefungua semina maalum ya mafunzo ya uongozi iliyoandaliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kwa zaidi ya viongozi 1,200 wa Kata na Matawi. “Vijana mnapaswa kuelekeza nguvu zenu katika kuimarisha CCM na UVCCM, siyo kushiriki katika...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  5. mwanamwana

    Pre GE2025 ACT Wazalendo: CCM siyo chama cha siasa tena. Zamani ilikuwa inatumia dola ili kuiba uchaguzi, sasa Dola inaitumia CCM kuiba uchaguzi

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya chama cha siasa ni lazima kiwe na uwezo wa kuleta ushindani. CCM hii ya sasa siyo ile tuliyokuwa...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Mjumbe Halmashauri ya Kuu CCM: Vijana wa CCM wanaowatukana viongozi kwenye magroup ya Whatsap hatutawapa nafasi za uongozi

    Wakuu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea kwenye uchaguzi mkuu kupitia makundi ya WhatsApp. Alisema tabia hiyo ni kinyume cha maadili ya CCM...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Stephen Wasira: Demokrasia haipimwi kwa asilimia ya ushindi bali kwa watu kupiga kura kwa uhuru

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia. Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
  8. The Watchman

    Pre GE2025 ACT - Wazalendo: CCM haipo tayari kwa mabadiliko, ni lazima sasa tuyadai kwa njia ya mapambano

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dalili zote kuwa hakipo tayari kwa mabadiliko ya kimfumo ya uchaguzi hivyo kwa sasa wanahitaji kudai mabadiliko kwa njia ya mapambano. Akizungumza Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu ya pili waendelea Zanzibar. Changamoto "ndogondogo" zajitokeza!

    Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza baada ya kutembelea vituo vya uandikishaji Wilaya ya...
  10. Mindyou

    Pre GE2025 Mbunge wa Buchosa Erick Shigongo: Watanzania mna Rais bora. Shida tunasifiaga watu wakishakufa

    Wakuu, CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu. Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa. Yaani mnasifia hadi mnaboa. ================================== Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari...
  11. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!

    Wakuu, Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM. Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No Elections. Lissu piga hapo hapo! Wapinzani wanatetemeka. Ndio maana No Reforms No Election. No...
  12. M

    Pre GE2025 Tanga: Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo aongoza matembezi wa Wana CCM kumkaribisha Rais Samia Tanga

    Wakuu, Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...
  13. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: Tume Huru ya Uchaguzi yatinga mtaa kwa mtaa mkoani Morogoro kuhamasisha wananchi kujiandikisha

    Wakuu, Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura. Haya ndio mambo tunayotaka kuona. Sasa hapa tume...
  14. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya siasa za kiharakati kwa kutumia utopian politics!, badala ya kufanya siasa za kimikakati, matokeo...
  15. K

    Pre GE2025 Kama uchaguzi wa mwaka 2024 ungefanyika kwa haki, wapinzani wangekubali kushiriki Uchaguzi ujao kwa Katiba na sheria hizi hizi

    Ni kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa na baadhi ya watendaji wa Serikali kiasi kwamba ukaonekana ni hovyo. Ndiyo maana akina Lissu wanapojenga hoja ya mabadiliko kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wanaeleweka vema na Watanzania na Jumuiya ya kimataifa. Na mbaya zaidi hoja ya...
  16. Mindyou

    Pre GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto wetu!

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga. Akiongea wakati...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

    Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa...
  18. Mindyou

    Pre GE2025 John Heche: Vyombo vya habari vinafanya upendeleo. Wakifanya coverage ya upinzani wanafanya negative stories

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA Akitolea mfano, Heche alisema kuwa: "Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya...
  19. Mindyou

    Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

    Wakuu, Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki? Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii? Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji...
  20. Mindyou

    Pre GE2025 Hivi Gen Z wa Tanzania wanajua hata kama kuna zoezi la kujiandikisha kupiga kura linaendelea nchi nzima? Tume ina mpango gani?

    Wakuu, Jana nilikuwa kwenye ile page ya Tume Huru ya Uchaguzi. Mpaka sasa hii tume imeshapita Zanzibar, Arusha, Pwani, Songwe, Ruvuma na Rukwa na kuanzia Machi 1 wataanza kuandikisha wapiga kura huko Mkoani Morogoro. Kwa namna ambavyo nawaona Gen Z (watu waliozaliwa 1997 - 2012) yaani ni...
Back
Top Bottom