Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Wakuu,
Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu.
Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili walainike kuwapigia kura CCM kwenye Uchaguzi alafu baada ya Uchaguzi hii huduma itakufa na walimu...
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini.
Maombi hayo yanalenga kuiombea amani Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea chaguzi, ambazo mara nyingi huambatana na...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya Msoga kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga kura ili...
Wakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo Movie wanamjua) mwaka 2021 aligombania viti maalum, huko CCM Iringa wakampiga chini.
This time...
Wakuu,
Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike?
Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka?
Siku ya leo akiwa Ikungi Singida, Lissu amesema:
"Tutazuiaje, kila mtu na ajiongeze. Ikungi hapa tukilala...
Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka bayana kuwa aligombea makamu uenyekiti kwenye chama chake cha awali kumpinga Ismail Jussa ambapo...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 amesema mpango wa Chama hicho ni kuhakikisha kwamba...
"Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje"
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba
Soma pia: Pre...
Tazama mapokezi ya Lissu Ikungi akielekea kufanya mkutano mkubwa nyumbani kwao Ikungi Singida
Fuatilia uzi huu kujua nini kimejiri
https://www.youtube.com/watch?v=qi1dGtNY5c0
Wakuu,
Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu
Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu
Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mhe. Ummy ametoa wito huo, Februari 14...
Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu.
Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo...
USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu
Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba:
Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
Wakuu,
CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu.
Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti
Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba...
Wakuu
CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi
Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga:
Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No...
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia...
Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime
Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri
https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.